Nenda kwa yaliyomo

Alessandro Manzoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alessandro Manzoni alivyochorwa na Francesco Hayez, Pinacoteca di Brera, Milano, 1841)

Alessandro Francesco Tommaso Antonio Manzoni (it; 7 Machi 1785 – 22 Mei 1873) alikuwa mshairi, mtunzi wa riwaya na mwanafalsafa wa Italia.[1]

Ni maarufu hasa kwa riwaya I promessi sposi, yaani Walioahidiana kuoana (1827), ambayo inahesabiwa na wengi kuwa kati ya maandishi bora ya fasihi yote duniani.[2] Kitabu hicho kilichangia sana kuunganisha lahaja za Kiitalia [3]

  1. Herbermann, Charles, mhr. (1913). "Alessandro Manzoni" . Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
  2. "Alessandro Manzoni | Italian author". Encyclopedia Britannica. 25 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "I Promessi sposi or The Betrothed". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Julai 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alessandro Manzoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.