Nenda kwa yaliyomo

Alessandro Farnese (kardinali)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alessandro Farnese (5 Oktoba 15202 Machi 1589) alikuwa kardinali wa Italia, mwanadiplomasia, na mhamasishaji mkubwa wa sanaa.

Farnese alikuwa mtoto wa ndugu wa Papa Paulo III (ambaye pia aliitwa Alessandro Farnese) na mwana wa Pier Luigi Farnese, Duke wa Parma, aliyeuawa mwaka 1547.

Anapaswa kutofautishwa na mtoto wa ndugu yake, Alessandro Farnese, Gavana wa Uholanzi ya Kihispania, ambaye alikuwa mjukuu wa Kaisari Charles V na mjukuu wa Papa Paulo III.[1]

  1. Camillo Trasmondo Frangipani, Memorie sulla vita e i fatti del Cardinale Alessandro Farnese (Roma 1876), pp. 26-29.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.