Aleluya

Aleluya (pia: Haleluya; kutoka Kiebrania: הַלְלוּ־יָהּ, haləlū-Yāh, yaani "Msifuni Yahwe"[1][2][3][4][5][6]) ni shangilio la Kiebrania linalotumika kuhimiza watu kutoa sifa kwa Mungu.[7]. Linapatikana mara 24 katika Zaburi, kitabu cha nyimbo cha Tanakh[8], mara moja katika vitabu vya Deuterokanoni[9] tena mara nne katika Ufunuo wa Yohane[10], ambao ni sehemu ya Agano Jipya ya Biblia ya Kikristo[11] . Hivyo tangu mwanzo wa Kanisa[12] limepokewa bila kutafsiriwa katika sala na ibada za Wakristo[13] wa madhehebu mbalimbali[13][7].
Kwa kuitazama kama ishara ya furaha, toka zamani Ukristo wa Magharibi haukuitumia wakati wa Kwaresima ukisubiri kuingurumisha tena kuanzia usiku wa Pasaka[14][15][16]. Kwa maana hiyo Wakristo binafsi wanaitumia kama itikio la shukrani na shangwe kwa Mwenyezi Mungu [17] na ndivyo inavyotokea katika ibada za madhehebu yasiyotia maanani sana tofauti za vipindi vya Mwaka wa Kanisa[18][19].
Toka zamani Aleluya imetiwa nota na kujitokeza sana katika muziki wa Kikristo, kwa mfano muziki wa Kigregori.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Page H. Kelley, Biblical Hebrew, an Introductory Grammar, page 169. Ethics & Public Policy Center, 1959. ISBN 978-0-8028-0598-0.
- ↑ Hallelujah, also spelled Alleluia Archived 12 Mei 2015 at the Wayback Machine, Encyclopædia Britannica
- ↑ Brown-Driver-Briggs (Hebrew and English Lexicon, page 238)
- ↑ page 403, note on line 1 of Psalm 113, Alter, Robert (2007). The Book of Psalms: A Translation with Commentary. W. W. Norton & Company. ISBN 978-0-393-06226-7.
- ↑ Binns, John (2016-11-28). The Orthodox Church of Ethiopia: A History (kwa Kiingereza). Bloomsbury Publishing. uk. 25. ISBN 9781786730374.
- ↑ Zevit, Ziony (2007). "The First Halleluyah". Milk and Honey: Essays on Ancient Israel and the Bible in Appreciation of the Judaic Studies Program at the University of California, San Diego. Eisenbrauns. uk. 164. ISBN 9781575061276.
- 1 2 Young, Carlton R. (1993). Companion to the United Methodist Hymnal (kwa Kiingereza). Abingdon Press. uk. 204. ISBN 978-0-687-09260-4.
Alleluia is the Latin form of Hallelujah, an acclamation formed by joining "Hallelu" (to praise) with the first syllable in a Hebrew name for God, Yahweh.
- ↑ Zab 104:35; 105:45; 106:1, 48; 111:1; 112:1; 113:1, 9; 115:18; 116:19; 117:2; 135:1, 3, 21; 146:1, 10; 147:1, 20; 148:1, 14; 149:1, 9; 150:1, 6.
- ↑ Tob 13:17
- ↑ Ufu 19:1–6
- ↑ Woods, F. H. (1902). "Hallelujah". Katika James Hastings (mhr.). A Dictionary of the Bible. New York: Charles Scribner's Sons. uk. 287. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 3 Novemba 2007.
{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Scott Nash, "Hallelujah" in Mercer Dictionary of the Bible (Mercer University Press 1990 ISBN 978-0-86554373-7), p. 355
- 1 2 Alter, Robert (2007). The Book of Psalms: A Translation with Commentary. W. W. Norton & Company. ISBN 978-0-393-06226-7.
- ↑ "Why don't we use alleluias during Lent?" (PDF) (kwa Kiingereza). Evangelical Lutheran Church in America. 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 29 Machi 2018. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Why don't we use alleluias during Lent?" (PDF) (kwa Kiingereza). Evangelical Lutheran Church in America. 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 29 Machi 2018. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Weaver, J. Dudley Jr. (2002). Presbyterian Worship: A Guide for Clergy (kwa Kiingereza). Geneva Press. uk. 106. ISBN 978-0664502188.
The alleluia is traditionally not sung during Lent, and, here at the first service of Easter, it is at last reintroduced to the church's liturgy.
- ↑ Meacock, Ron (31 Agosti 2022). Glimpse of Glory: Understanding Revelation (kwa Kiingereza). WestBow Press. ISBN 978-1-6642-7420-4.
Hallelujah and "Praise the Lord" have become acceptable spontaneous expressions of joy, thanksgiving, and praise towards God in many Christian denominations.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ At Pipe Organ Pizza, a pipeline for prayers Archived 2016-03-13 at the Wayback Machine, Milwaukee Journal, July 12, 1981
- ↑ "Charismatic Catholicism is alive and well" (kwa Kiingereza). Crux. 26 Septemba 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2022.
The appeal of charismatic prayer "starts with praise and worship," said Mr. Soares, who is now director of Charismatic Renewal Services for the Archdiocese of Boston. "But as you get deeper, you start to see other things besides just the amen and hallelujah. You see people more rooted in their history."
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Encyclopedia article, s.v., Alleluia
- Photo—Chanting the Alleluia Russian Orthodox
| Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aleluya kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |