Nenda kwa yaliyomo

Aleksandr Matveyev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aleksandr Konstantinovich Matveyev (8 Julai 19269 Oktoba 2010) alikuwa mwanaisimu wa Urusi anayejulikana kwa kazi zake katika fani za tawi la isimu linalochunguza majina ya mahali, utafiti wa majina ya pekee, na asili na maendeleo ya kimaana ya maneno. [1]

  1. "In memory of A. K. Matveyev" (kwa Kirusi). USU official site. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 16, 2011. Iliwekwa mnamo Oktoba 11, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleksandr Matveyev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.