Aleksandr Kuznetsov
Mandhari
Aleksandr Kuznetsov alikuwa kiongozi wa msafara wa timu ya kwanza isiyo na utata kukanyaga katika Ncha ya Kaskazini. Wadai wengine, hasa Frederick Cook (1908) na Robert Peary (1909), wamekosolewa kwa kukosa kumbukumbu za kusaidia madai yao, kutokuwa na mtu wa kuthibitisha usomaji wa kifaa cha sekstanti, au kwa sababu nyinginezo.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fleming, Fergus (2001). Ninety Degrees North: The Quest for the North Pole. New York: Grove Press. uk. 417. ISBN 978-0802117250.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aleksandr Kuznetsov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |