Nenda kwa yaliyomo

Alberto wa Saksonia (mwanafalsafa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alberto wa Saksonia (kwa Kilatini: Albertus de Saxonia; takriban 1320 – 8 Julai 1390) alikuwa mwanafalsafa na mtaalamu wa hisabati kutoka Ujerumani,[1] anayejulikana kwa mchango wake katika mantiki na fizikia. Alikuwa Askofu wa Halberstadt kuanzia mwaka 1366 hadi kifo chake.

Albert alizaliwa Rickensdorf karibu na Helmstedt, akiwa mtoto wa mkulima katika kijiji kidogo. Kutokana na kipaji chake, alipelekwa kusoma katika Chuo Kikuu cha Prague na baadaye Chuo Kikuu cha Paris.

  1. [(https://mathshistory.st-andrews.ac.uk/Biographies/Albert/) "Albert of Saxony - Biography"]. Maths History (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-22. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.