Alberto Tanasini
Mandhari
Alberto Tanasini (6 Agosti 1945 – 24 Januari 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alikuwa askofu msaidizi wa Genova kuanzia 1996 hadi 2004 na kisha askofu wa Chiavari kutoka 2004 hadi 2021.
Tanasini alifariki tarehe 24 Januari 2024, akiwa na umri wa miaka 78.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Il lutto. Chiavari, morto il vescovo emerito Alberto Tanasini". www.avvenire.it (kwa Kiitaliano). 24 Januari 2024. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |