Nenda kwa yaliyomo

Alberto Suárez Inda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alberto Suárez Inda (30 Januari 1939) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki la Roma kutoka Meksiko.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Morelia kutoka 1995 hadi 2016.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.