Nenda kwa yaliyomo

Alberto Ortega Martín

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alberto Ortega Martín (alizaliwa 14 Novemba 1962) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania ambaye anahudumu katika Huduma ya Kidiplomasia ya Vatikani.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.