Nenda kwa yaliyomo

Alberto Korda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Korda (kulia) akimpiga picha che guevara (katikati), huku guevara akiwa ameshikana mikono na mke wake Aleida march.

Alberto Díaz Gutiérrez (14 Septemba 192825 Mei 2001), anayejulikana zaidi kama Alberto Korda au kwa kifupi Korda, alikuwa mpiga picha wa Kuba, anayekumbukwa kwa picha yake maarufu ya guerrillero heroico ya mwanamapinduzi wa kimarx wa argentina Che Guevara.

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Korda alizaliwa tarehe 14 Septemba 1928, mjini Havana, Kuba. Alianza kupenda upigaji picha alipochukua kodak 35mm ya baba yake na kuanza kumpiga picha mpenzi wake.[1]

Picha mashuhuri za Korda

[hariri | hariri chanzo]
  1. The Man who gave Che to the World by Stuart Jeffries, The Observer, May 27, 2001
  2. La Niña de la Muñeca de Palo ya Alberto Korda
  3. Entrada de Fidel a La Habana ya Alberto Korda
  4. El Quijote de la farola ya Alberto Korda
  5. Fidel in Washington ya Alberto Korda
  6. Guerrillero Heroico ya Alberto Korda
  7. Miliciana ya Alberto Korda
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberto Korda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.