Nenda kwa yaliyomo

Albert Vanhoye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Albert Vanhoye S.J. ( 24 Julai 192329 Julai 2021) alikuwa kasisi wa Ufaransa, mwanachama wa Shirika la Yesu, na mtaalamu wa masomo ya Biblia.

Alifundisha katika Taasisi ya Kipapa ya Biblia kuanzia 1963 hadi 1998 na aliwahi kuwa mkuu wake kati ya 1984 na 1990. Alikuwa Katibu wa Tume ya Kipapa ya Biblia kuanzia 1990 hadi 2001.

Aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Benedikto XVI mwaka 2006 na aliendesha mafungo ya Kwaresima kwa Curia ya Kipapa mwaka 2008.[1]

  1. "Cardinal Vanhoye: Spiritual Exercises necessary for renewal of Christian vocation". Catholic News Agency. Catholic News Agency (CNA). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.