Albert Ouédraogo
Mandhari
Albert Ouédraogo (amezaliwa 6 Aprili 1969) ni mwanasiasa na mchumi wa Burkina Faso.[1]
Alihudumu kama Waziri Mkuu wa mpito wa Burkina Faso kuanzia 3 Machi hadi 30 Septemba 2022.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Burkina Faso investigates mine flood as rescue efforts continue". Al Jazeera (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-05-28.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albert Ouédraogo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |