Al-Mufaddal ibn Abi al-Fada'il
Mandhari
Al-Mufaddal ibn Abi al-Fada'il alikuwa mwanahistoria wa Misri wa karne ya 14 na pia alikuwa Mkristo wa Kikopti. Al-Mufaddal aliandika kitabu kuhusu historia ya Mamluk wa Bahriyya, kilichoitwa al-Nahdj al-sadîd wa-l-durr al-farîd fimâ ba'd Ta'rîkh Ibn al'Amîd, kikihusia kipindi cha kuanzia mwaka 1260 hadi 1340. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hirsch, Bertrand (8 Juni 2017). "2. Le port de Zeyla et son arrière-pays au Moyen Âge : Investigations archéologiques et retour aux sources écrites". The port of Zeyla and its hinterland in the Middle Ages. Annales d'Éthiopie Hors-Série / Special Issues. French Center for Ethiopian Studies. ku. 27–74. ISBN 9782821882652.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Al-Mufaddal ibn Abi al-Fada'il kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |