Nenda kwa yaliyomo

Al-Jawwani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sharīf al-Dīn Abu Ali Muḥammad ibn Sana' al-Mulk As'ad ibn Ali al-Jawwani (akijulikana zaidi kama Al-Jawwani; 11311192) alikuwa mwanahistoria na mtaalamu wa nasaba wa Kiarabu kutoka Misri katika karne ya 12, wakati wa utawala wa Wafatimi nchini Misri.

    Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Al-Jawwani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.