Nenda kwa yaliyomo

Al-Amin Abu-Manga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Al-Amin Abu-Manga ni mtaalamu wa lugha kutoka Sudan (alizaliwa mwaka 1951), ambaye utafiti wake unajikita katika mwingiliano wa lugha na maelezo ya matumizi ya lugha miongoni mwa Wasudan wenye asili ya Afrika Magharibi (Wafulani, Wahausa, Wasonghay, na Wakanuri).[1]

  1. Abu-Manga, Al-Amin (1986). Fulfulde in the Sudan : process of adaptation to Arabic. Berlin: D. Reimer.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al-Amin Abu-Manga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.