Nenda kwa yaliyomo

Akua Anokyewaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akua Anokyewaa (alizaliwa 15 Oktoba 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kimataifa wa wanawake kutoka nchini Ghana anayecheza nafasi ya mshambuliaji.

Ni miongoni mwa wanachama wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA mwaka 2003.[1]

  1. "FIFA Women's World Cup USA 2003 - Technical Report" (PDF). FIFA Women's World Cup United States 2003. FIFA. 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Desemba 26, 2011. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akua Anokyewaa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.