Akosua Busia
Mandhari
Akosua Gyamama Busia (alizaliwa 30 Desemba 1966) [1][2] ni mwigizaji wa Ghana, mwandishi na mtunzi wa nyimbo. Alijulikana kwa watazamaji wa filamu kwa kucheza Nettie Harris katika filamu ya 1985 The Color Purple. alikuwa binti wa Waziri Mkuu wa Ghana Kofi Abrefa Busia.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Who's Who Among African Americans. Juz. la 22. Gale Research. 2008. uk. 179. ISBN 978-1-4144-3400-1.
- ↑ McCann, Bob (2010). Encyclopedia of African American Actresses In Film And Television. McFarland. uk. 62. ISBN 978-0-7864-3790-0.