Akio Toyoda
Mandhari
Akio Toyoda (alizaliwa Mei 3, 1956) ni mfanyabiashara wa Kijapani ambaye ni mwenyekiti wa Toyota Motor Corporation. Alikuwa rais na Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa kampuni hiyo. Toyoda ni mtoto wa nne wa mjasiriamali Sakichi Toyoda, na mjukuu wa mwanzilishi wa Toyota Motors, Kiichiro Toyoda, na mwanzilishi wa kampuni ya maduka ya Takashimaya, Shinshichi Iida[1][2][3][4][5].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kubo, Nobuhiro and Chang-Ran Kim. "Toyota confirms Akio Toyoda as New President," Archived 5 Agosti 2009 at the Wayback Machine Reuters (UK). 23 June 2009, retrieved 20111-04-22
- ↑ Shirouzu, Norihiko and John Murphy. "Toyota to Change Leader Amid Global Sales Slump," Wall Street Journal. 24 December 2008.
- ↑ "Toyota USA Newsroom". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Machi 2018. Iliwekwa mnamo 2 Aprili 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Notable Alumni". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 2 Aprili 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Alma mater matters: Why Babson College is Toyota's special partner". Automotive News. 2 Juni 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akio Toyoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |