Nenda kwa yaliyomo

Akhmim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Misri [1]
Msikiti wa mwanamfalme Hasan

Akhmim (Kiarabu: أخميم, inatamkwa [ʔæxˈmiːm]; Kikopti cha Akhmim: ⳉⲙⲓⲙ, inatamkwa [xmiːm]; cha Sahidi/Bohairi: ϣⲙⲓⲛ inatamkwa [ʃmiːn]) ni mji wa Misri uliopo katika utawala wa Sohag, kanda za juu za Misri. Upo kwenye ukingo wa mashariki wa Nile, maili nne (kilomita 6.4) kaskazini mashariki mwa Sohag. Una wakazi 104,454 (kadirio la mwaka 2008). Ulijulikana na Wagiriki wa Kale kama Khemmis au Chemmis (Kigiriki cha Kale: Χέμμις)[2] na Panopolis (Kiyunani: Πανὸς πόλις),[3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Akhmim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.