Akemi Dawn Bowman
Mandhari
Akemi Dawn Bowman ni mwandishi wa Marekani anayejulikana zaidi kwa riwaya yake ya vijana (young adult) iitwayo Starfish, ambayo ilikuwa miongoni mwa walioteuliwa kuwania tuzo ya William C. Morris YA Debut Award. Riwaya hiyo inamhusu kijana Mjapani-Mmarekani anayeitwa Kiko Himura, anayepitia maisha ya nyumbani yenye changamoto (toxic home life) na anayejaribu kutafuta mpango mbadala baada ya kukosa nafasi katika shule yake ya ndoto ya sanaa.[1]
Akemi Dawn Bowman alianza kazi yake akiandika hadithi za uhalisia (realistic fiction), lakini baadaye alianza kuandika aina mbalimbali za vitabu (genres). Mwaka 2021 alizindua mfululizo wake wa sayansi ya kubuni (science fiction) unaoitwa The Infinity Courts, uliotolewa Aprili 2021.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Emma Carbone (2018-01-24). [(http://www.yalsa.ala.org/thehub/2018/01/22/2018-morris-award-finalists-interview-akemi-dawn-bowman-starfish) "2018 Morris Award Finalists: An Interview with Akemi Dawn Bowman on Starfish"]. The Hub. Iliwekwa mnamo 26 Desemba 2021.
{{cite web}}: Check|url=value (help) - ↑ Tami Orendain (Aprili 2021). [(https://www.bookpage.com/reviews/26109-akemi-dawn-bowman-infinity-courts-ya/#.YF9BFa_7SUk) "The Infinity Courts"]. BookPage. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2021.
{{cite web}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akemi Dawn Bowman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |