Nenda kwa yaliyomo

Akasi wa Konstantinopoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akasi wa Konstantinopoli (kwa Kigiriki: Ἀκάκιος; alifariki 26 Novemba 489) alikuwa Patriarki wa Konstantinopoli kuanzia mwaka 472 hadi 489. Alishiriki mabishano kuhusu mafundisho ya Mtaguso wa Kalsedonia ili kurudisha umoja wa Wakristo akimtumia kaisari Zeno [1], kumbe kukatokea farakano lingine la miaka 37 kati ya Kanisa la Konstantinopoli na lile la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1 2 Chisholm 1911, p. 732.
  2. "30 Hatour - Hatur Month - Coptic Synaxarium (Coptic Orthodox Calendar - Daily Synaxarion) - Saint Tekle Haymanot Coptic Orthodox Website - Alex, Egypt".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.