Nenda kwa yaliyomo

Akari wa Noyon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Akari katika dirisha la kioo cha rangi huko Haspres.

Akari wa Noyon (pia: Achaire, Anschaire, Acharius, Acaire; Ufaransa, 569 - 639 hivi) alikuwa askofu wa Noyon na Tournai, aliyewahi kuwa mmonaki katika kisiwa cha Lérins chini ya Eustasi akajitosa kuinjilisha maeneo hayo ya Ufaransa na Ubelgiji wa leo [1].

Baada yake jimbo liliongozwa na Eliji[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba [3][4]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/79480
  2. Van der Essen, Léon. "St. Eligius." The Catholic Encyclopedia Vol. 5. New York: Robert Appleton Company, 1909. 30 March 2019
  3. Martyrologium Romanum
  4. "Saint Acharius of Tournai". 8 Machi 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.