Nenda kwa yaliyomo

Aké Loba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gérard Aké Loba (15 Agosti 1927 – 3 Agosti 2012) alikuwa mwanadiplomasia na mwandishi kutoka Côte d’Ivoire.[1]

Alizaliwa Abobo, Côte d’Ivoire, na alifariki Aix-en-Provence, Ufaransa.

Mwaka 1961 alishinda tuzo ya fasihi ya *Grand prix littéraire d'Afrique noire*.

  1. "ELFENBEINKÜSTE (COTE D'IVOIRE )- Chronik zur Sozial- und Literaturgeschichte". www.marabout.de. Iliwekwa mnamo 2026-05-21.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aké Loba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.