Nenda kwa yaliyomo

Ajdin Draga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ajdin Draga (1864–1914) alikuwa mwanasiasa wa Albania.[1] Mnamo mwaka wa 1912, alikuwa mwakilishi wa Kosovo katika Azimio la Uhuru wa Albania na mwanachama wa Seneti ya Albania.

  1. "History of Albanian People" Albanian Academy of Science.ISBN 99927-1-623-1
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ajdin Draga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.