Aisha Madinda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Aisha Madinda
Aisha Madinda (kushoto) akiwa na Lilian Internet (kulia)
Amezaliwa Mwanaisha Mohamed Mbegu
5 Mei 1979(1979-05-05)
5 Mei 1979(1979-05-05)
Amekufa 17 Desemba 2014 (umri 35)
Mwananyamala, Dar es Salaam, Tanzania
Sababu ya kifo Uraibu wa dawa za kulevya[1]
Majina mengine
Madinda
Kazi yake
  • Mnenguaji
Dini Mwislamu
Watoto 2 (Said na Naomi)
Musical career
Ala
  • Mnenguaji
Miaka ya kazi 2001–2014
Ameshirikiana na Twanga Pepeta, Extra Bongo

Aisha Madinda (jina la kuzaliwa: Mwanaisha Mohamed Mbegu mnamo 5 Mei 1979 - 17 Disemba 2014) alikuwa mnenguaji na mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania.

Enzi za uhai wake, alichezea bendi ya African Stars (Twanga Pepeta) na Extra Bongo. Alijiunga na Twanga Pepeta mnamo mwaka 2001 na kudumu humo hadi hapo ilipoanzishwa Extra Bongo.

Kimaisha, alizaliwa Dar es Salaam na kusoma na kukulia huko Kigoma.

Vilevile ni miongoni mwa wanenguaji maarufu waliopata kutokea nchini Tanzania.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mnenguaji Aisha Madinda afariki dunia gazeti la Mwananchi, mnamo Wednesday, December 17, 2014.
  2. “UHUNI NI TABIA YA MTU”-AISHA MADINDA Madinda katika wavuti ya Bongo Celebrity - ingizo la October 16, 2007.
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aisha Madinda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.