Nenda kwa yaliyomo

Aisha Jumwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aisha Jumwa
Amezaliwa28 Machi 1975
UtaifaMkenya
Kazi yakeAlikuwa Mbunge wa Jimbo la Malindi

Aisha Jumwa (alizaliwa 28 Machi 1975) ni mwanasiasa wa Kenya. Ana shahada ya kwanza ya uongozi na usimamizi kutoka chuo kikuu cha kimataifa cha uongozi [ILU][1]na stashahada ya utendaji ya utawala kutoka chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Kilimo na Teknolojia. 1997 hadi 2007 alitumikia kama Diwani wa kata ya Takaungu. Kuanzia 2013 hadi 2017 alitumikia kama mwakilishi wa wanawake wa Kaunti ya Kilifi , pia alitumikia kama Mbunge wa Jimbo la Malindi katika Kaunti ya Kilifi na mkamishina wa Taji ya utumishi wa Bunge (PSC) kuanzia 2017 hadi 2022. 11 Julai 2024 alifutwa kazi na Rais William Ruto.

  1. "Hon. Katana, Aisha Jumwa Karisa | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2026-01-31.