Nenda kwa yaliyomo

Aimee Allen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aimee Allen (alizaliwa tarehe 2 Februari, 1979)[1][2] Ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani anayeishi Los Angeles, California. Kwa sasa, yeye ni mwimbaji mkuu wa bendi ya ska-punk the Interrupters chini ya jina la jukwaa Aimee Interrupter.[3]

  1. Billboard (kwa Kiingereza). Nielsen Business Media, Inc. uk. 21. ISSN 0006-2510. Iliwekwa mnamo 2023-02-02.
  2. "Aimee Interrupter's Instagram". Instagram. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-24. Iliwekwa mnamo Agosti 2, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Distefano, Alex (Agosti 24, 2018). "10 OF THE BEST CONTEMPORARY FEMALE-FRONTED PUNK BANDS". LA Weekly. Iliwekwa mnamo Julai 19, 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aimee Allen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.