Aidan Quinn
Mandhari
Aidan Quinn (alizaliwa 8 Machi,1959) ni muigizaji kutoka Marekani.
Aliingia kwenye filamu kwa mara ya kwanza katika filamu ya Reckless (1984), na ameigiza katika filamu zaidi ya 80, ikiwa ni pamoja na Desperately Seeking Susan (1985), The Mission (1986), Stakeout (1987), All My Sons (1987), Avalon (1990), Benny & Joon (1993), Legends of the Fall (1994), Mary Shelley's Frankenstein (1994), Michael Collins (1996), Practical Magic (1998), Song for a Raggy Boy (2003), Wild Child (2008), na Unknown (2011). Pia aliigiza kama Kapteni Thomas "Tommy" Gregson katika mfululizo wa televisheni wa CBS, Elementary (2012–19)..[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Aidan Quinn". Biography.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-03-15. Iliwekwa mnamo 2018-02-25.
- ↑ Hasted, Nick (9 Apr 2004). "Aidan Quinn: The quiet man". The Independent. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aidan Quinn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |