Ahunna Eziakonwa
Mandhari
Ahunna Eziakonwa ni Naibu Katibu Mkuu Msaidizi wa United Nations na pia Msimamizi Msaidizi pamoja na Mkurugenzi wa Ofisi ya Kanda ya Afrika katika United Nations Development Programme (UNDP).
Kabla ya uteuzi wake tarehe 15 Agosti 2018, alikuwa Mwakilishi Mkazi na Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa UNDP katika nchi za Ethiopia, Uganda, na Lesotho.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Assistant Secretary-General, Assistant Administrator and Director of the Regional Bureau for Africa (RBA) | United Nations Secretary-General". www.un.org. Iliwekwa mnamo 2024-04-05.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ahunna Eziakonwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |