Ahmet Hamdi Akseki
Mandhari
Ahmet Hamdi Akseki (1886 – 9 Januari 1951) alikuwa mwanazuoni wa Kiislamu ambaye aliwahi kuwa Rais wa Kurugenzi ya Masuala ya Kidini nchini Uturuki.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ahmet Hamdi Akseki (1887-1951)". Atatürk Ansiklopedisi (kwa Kituruki). 2020-12-12. Iliwekwa mnamo 2021-12-29.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ahmet Hamdi Akseki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |