Nenda kwa yaliyomo

Ahmed el Inglizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmed el Inglizi (kwa Kiarabu: أحمد الإنجليزي, maana yake ‘Ahmed Mwingereza’), pia anajulikana kama Ahmed El Alj au Ahmed Laalaj (kwa Kiarabu: أحمد العلج, maana yake ‘Ahmed Murtadhi’), alikuwa mbunifu majengo na mhandisi Mwingereza aliyeasi dini ya Ukristo na kuingia Uislamu. Alifanya kazi kwa Sultani wa Moroko Mohammed ben Abdallah katika karne ya 18. Kama jina lake la ukoo "El Alj" linavyomaanisha, Ahmed el Inglizi alikuwa "murtadhi", yaani mtu aliyeacha Ukristo na kuingia katika Uislamu.[1]

  1. "Ahmed el Inglizi- one of the number of European pirates who joined up with the Salle Rovers" in The real guide, Morocco by Mark Ellingham, Shaun McVeigh Prentice Hall, p.189 ISBN 978-0-13-783697-0.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed el Inglizi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.