Ahmed Afif
Mandhari
Ahmed Afif (alizaliwa Mahé, 6 Januari 1967) ni mwanasiasa na mfanyakazi wa benki wa Shelisheli ambaye amehudumu kama Makamu wa Rais wa nchi tangu tarehe 27 Oktoba 2020. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Laurence, Daniel; Bonnelame, Betymie (27 Oktoba 2020). "Vice President Afif sworn in, pledges to help new president's vision of reform". Seychelles News Agency. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Hon Ahmed Afif". National Assembly of Seychelles. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Afif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |