Nenda kwa yaliyomo

Ahmadou Ahidjo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmadou Babatoura Ahidjo (24 Agosti 192430 Novemba 1989) alikuwa mwanasiasa kutoka Kamerun na rais wa kwanza wa nchi hiyo kuanzia mwaka 1960 hadi 1982. Awali, alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa nchi hiyo tangu uhuru wake mwezi Januari 1960 hadi Mei ya mwaka huo huo, baada ya kuanzishwa kwa wadhifa wa urais.[1]

  1. Stark, Frank M. (1976). "Federalism in Cameroon: The Shadow and the Reality". Canadian Journal of African Studies. 10 (3): 423–442. doi:10.2307/483799. JSTOR 483799.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmadou Ahidjo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.