Ahmad Muhammad Shakir
Mandhari
Ahmad Muhammad Shakir (Januari 29, 1892, Cairo – Juni 14, 1958) alikuwa msomi wa Kiislamu wa Misri aliyebobea katika elimu ya hadithi.Shakir ni mtoto wa Muḥammad Shākir ibn Aḥmad, ambaye alikuwa msomi wa Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Al-Azhar, na ni kaka mkubwa wa Mahmud Muhammad Shakir, ambaye alikuwa mwandishi wa habari. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Moosa, Ebrahim (1998). "Shaykh Aḥmad Shākir and the Adoption of a Scientifically-Based Lunar Calendar". Islamic Law and Society. 5 (1): 57–89. doi:10.1163/1568519982599599. hdl:10161/5748. ISSN 0928-9380. JSTOR 3399353. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2021.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Shaham, Ron (1999). "An Egyptian Judge in a Period of Change: Qāḍī Aḥmad Muḥammad Shākir, 1892-1958". Journal of the American Oriental Society. 119 (3): 440–455. doi:10.2307/605935. ISSN 0003-0279. JSTOR 605935. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2021.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ahmad Muhammad Shakir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |