Nenda kwa yaliyomo

Ahfazur Rahman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahfaz-ur-Rahman (Kiuurdu: احفاظُ الرّحمٰن; 4 Aprili 1942 – 12 Aprili 2020) alikuwa mwandishi wa habari, mwandishi wa vitabu, na mshairi kutoka Pakistan.

Alijulikana kwa kupigania uhuru wa vyombo vya habari (press freedom) na haki za waandishi wa habari, hasa wakati wa tawala za kijeshi na hata serikali za kiraia.[1]

  1. "'Zinda Hai Zindagi': Ahfazur Rahman's poems hide messages of misfortunes in an optimistic title". The Express Tribune. 30 Novemba 2013. Iliwekwa mnamo 2013-12-03.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahfazur Rahman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.