Ahadi (filamu)
Mandhari
Ahadi ni filamu inayomhusu kijana yatima anayeitwa Hans ambaye anarudi Dar es Salaam kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi, kwa ajili ya mirathi ya baba yake mzazi. Familia ya baba yake (mama wa kufikia na kaka na dada upande wa baba) inatambua Hans alikuwa akiishi nje ya nchi (Marekani) kwa kipindi chote ambacho yupo mbali na familia na ni mtu aliyekuwa na maisha mazuri tu na familia ya mke na watoto wawili wa kike mapacha. Ukweli ni kuwa Hans ni tapeli ukiachana na siri kubwa ambayo ameibeba.[1]
Filamu hii ilizinduliwa mwaka 2021.[2]
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Steven Almasi
- Balanda Balanda
- Peter Challo
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ahadi". Cinebox (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-08-29.
- ↑ Ahadi, Steven Almasi, Balanda Balanda, Peter Challo, 2021-06-28, iliwekwa mnamo 2025-08-29
{{citation}}: CS1 maint: others (link)
| Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ahadi (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |