Nenda kwa yaliyomo

Agustinus Tri Budi Utomo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agustinus Tri Budi Utomo (alizaliwa Sine, Aprili 12, 1968) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Indonesia. Mnamo Oktoba 29, 2024, aliteuliwa na Papa kuwa Askofu wa Surabaya, akichukua nafasi ya Vincentius Wisaksono aliyefariki Agosti 2023. Kabla ya kuteuliwa kuwa Askofu, alihudumu kama Makamu wa askofu wa Surabaya.[1][2]

  1. Eben Haezer (29 Oktoba 2024). "Profil Lengkap Romo Didik, Rohaniwan Katolik Dari Ngawi yang Dipilih Paus Menjadi Uskup Surabaya". TribunMataraman.com.
  2. "Moto Uskup Terpilih Surabaya: Mencintai seperti Kristus Mencintai". Kompas.id. 10 Desemba 2024. Iliwekwa mnamo 11 Desemba 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.