Nenda kwa yaliyomo

Agrumatue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agrumatue ni mto unaopatikana katika mkoa wa Mashariki ya Juu nchini Ghana.[1] Mto huo unapita kati ya miji ya Bolgatanga na Zuarungu, pia hutumika kama mpaka wa kiutawala kati ya Wilaya ya Manispaa ya Bolgatanga na Wilaya ya Bolgatanga Mashariki. Barabara kuu ya N11 huvuka mto huo.[2]

Katika kipindi cha kiangazi, maji ya mto Agrumatue hupungua kwa kiasi kubwa hadi kukauka. Hata hivyo, karibu na mji wa Bolgatanga kuna bwawa lililojengwa kwenye mto huo ambalo huhifadhi sehemu ya maji mwaka mzima. Kutokana na uwepo wa bwawa hilo, shughuli za kilimo kama umwagiliaji huendelea kufanyika hata wakati wa kiangazi, jambo linalosaidia uzalishaji wa mazao katika eneo hilo.

  1. ↑ Marloes, Mul; E, Obuobie; R, Appoh; K, Kankam-Yeboah; E, Bekoe-Obeng; B, Amisigo; Y, Logah, F.; B, Ghansah; Matthew, McCartney (2015-05-01). Evaluation des ressources en eau du bassin de la Volta. In French (kwa Kifaransa). International Water Management Institute (IWMI). ISBN 978-92-9090-832-6.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  2. ↑ Obuobie, Marloes Mul, Emmanuel; Appoh, Richard; Yeboah, Kwabena Kankam-; Bekoe-Obeng, Emmanuel; Amisigo, Barnabas; Logah, Frederick Yaw; Ghansah, Benjamin; McCartney, Matthew (2015-02-01). Water Resources Assessment of the Volta River Basin (kwa Kiingereza). International Water Management Institute (IWMI). ISBN 978-92-9090-829-6.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ghana bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Agrumatue kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.