Nenda kwa yaliyomo

Agrari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Agrari mfiadini)

Agrari (pia: Agrarius, Apringius; alifariki 413) ni kati ya Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao katika Tunisia ya leo.

Ndugu wa Marselino wa Karthago kutoka Toledo, Hispania, alikuwa mtawala wa Dola la Roma katika Afrika ya Kaskazini. Walipopinga Udonato waliuawa.[1]

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Aprili.[2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. O'Malley, Vincent J., "St. Marcellinus of Carthage", Saints of Africa, Our Sunday Visitor Publishing, 2001 ISBN 9780879733735
  2. catholicsaints.info
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.