Nenda kwa yaliyomo

Agostino da Lanzano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agostino da Lanzano (karne ya 14 - 1410) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyehudumu kama Askofu wa Spoleto (1404–1410), Askofu wa Perugia (1390–1404), na Askofu wa Penne e Atri (13801390). Tarehe 14 Februari 1380, Agostino da Lanzano aliteuliwa na Papa Urban VI kuwa Askofu wa Penne e Atri. [1][2]

  1. Eubel, Konrad (1913). HIERARCHIA CATHOLICA MEDII ET RECENTIORIS AEVI Vol I (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 461, 396, and 394. (in Latin)
  2. "Bishop Agostino da Lanzano" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved March 21, 2016
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.