Agostino Giuseppe Delfino
Mandhari
Agostino Giuseppe Delfino, OFMCap (17 Juni 1935 – 18 Oktoba 2020), alikuwa Mkapuchini aliyezaliwa Italia na askofu wa Kanisa Katoliki wa Berbérati.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |