Agostino Gemelli
Mandhari
Agostino Gemelli O.F.M. (18 Januari 1878 – 15 Julai 1959) alikuwa daktari na mtaalamu wa saikolojia, halafu padri Mfransisko wa Kanisa Katoliki nchini Italia.
Alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kwanza wa Università Cattolica del Sacro Cuore (Chuo Kikuu cha Kakatoliki cha Moyo Mtakatifu) kilichoko Milano.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ PIETRZAK, DANIEL M (1981-01-01). "The role of Agostino Gemelli in the evolution of psychology in Italy". ETD Collection for Fordham University: 1–127.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |