Nenda kwa yaliyomo

Agnes Tibayeita Isharaza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agnes Tibayeita Isharaza ni wakili wa Uganda na meneja wa kampuni, ambaye ni Katibu wa Kampuni na Kiongozi wa Masuala ya Kisheria katika Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (Uganda), kuanzia 1 Aprili, 2019.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Uganda na kupata Elimu yake ya msingi na sekondari nchini humo. Shahada yake ya kwanza, Bachelor of Laws, alipata kutoka Makerere University, chuo kikuu cha umma kikubwa zaidi na cha zamani zaidi nchini Uganda. Baadaye alipata Diploma in Legal Practice kutoka Law Development Centre iliyoko Kampala, mji mkuu na mkubwa zaidi nchini. Shahada yake ya pili, Master of Business Administration, ilitolewa na Eastern and Southern African Management Institute.[1][2]

Ana uzoefu wa miaka 16 katika masuala ya utawala wa kampuni, kuanzia Machi 2019. Kabla ya nafasi yake ya sasa, alikuwa Katibu wa Kampuni na kiongozi wa masuala ya kisheria katika DFCU Benki.[3]

  1. 1 2 Nakaweesi, Dorothy (14 Machi 2019). "Kasaija appoints new NSSF head of legal services". Daily Monitor. Kampala. Iliwekwa mnamo 17 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Nile Post News (15 Machi 2019). "Former DFCU legal boss scoops top post at NSSF". Kampala: Nile Post Uganda. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Nelson Mandela (15 Machi 2019). "dfcu Bank's head of legal crosses to NSSF, named Corporation Secretary". Kampala: PML Daily Uganda. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnes Tibayeita Isharaza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.