Agnes Kavindu
Mandhari
Agnes Kavindu Muthama ni mwanasiasa wa Kenya ambaye kwa sasa anahudumu kama Seneta wa Machakos. Alichaguliwa kupitia chama cha Wiper kuhudumu kama Seneta wa Kaunti ya Machakos tarehe 19 Machi 2021.[1] Pia aliwahi kufanya kazi katika Bodi ya Huduma ya Maji ya Tanathi kuanzia mwaka 2018 hadi 2021. [2]
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Alikuwa mke wa zamani wa aliyekuwa Seneta wa Machakos, Johnson Mutha. Mwaka 2018, alihudhuria Outreach International Bible College na kuhitimu Shahada yake.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.kenyans.co.ke/politician/agnes-muthama
- ↑ https://www.parliament.go.ke/the-senate/sen-muthama-agnes-kavindu-mbuku
- ↑ https://www.parliament.go.ke/index.php/the-senate/sen-muthama-agnes-kavindu-mbuku
| Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |