Nenda kwa yaliyomo

Agbowó

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agbowó ni jarida la fasihi la Afrika linalochapisha mashairi, riwaya, insha, tamthilia na sanaa ya macho. Jarida hilo limechapisha kazi kadhaa za fasihi na sanaa ya macho tangu lilipoanzishwa mwaka 2017, pamoja na jarida la kila mwaka lenye mandhari maalum.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Likianzishwa na Habeeb Kolade na Dolapo Amusat mwaka 2017, jarida hilo liliaanza kama upanuzi wa UItes WRITE Anthology (2015–2019),[1][2] mkusanyiko wa fasihi iliyolenga kuchapisha insha, mashairi na hadithi fupi za wanafunzi na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ibadan.[3] Jarida hili linachukua jina la barabara iliyo mkabala na Chuo Kikuu cha Ibadan,[4][5]

  1. "Something Resembling Progress". Habeeb X (kwa American English). 2018-12-26. Iliwekwa mnamo 2023-12-03.
  2. "UI LITERARY GROUP 'UITES WRITE' LAUNCHES FOURTH ANTHOLOGY". AFAS PRESS (kwa American English). 2019-08-20. Iliwekwa mnamo 2023-12-03.
  3. "INTERVIEW: How literary platforms contribute to growth of African writing — Agbowó founder". Premium Times (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2020-08-16. Iliwekwa mnamo 2021-07-07.
  4. "Agbowo: Ibadan community that is given life by students". Tribune Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2018-09-02. Iliwekwa mnamo 2023-12-03.
  5. "About Agbowó". Agbowó (kwa American English). 2017-06-02. Iliwekwa mnamo 2021-07-07.