Afyonkarahisar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:33, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 50 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q166824 (translate me))
Faili:HalukOzozluWwwSihirliturComAfyonkarahisarGeneralView.jpg
Mji wa Afyonkarahisar jinsi unavyoonekana kwa picha ya juu.

Afyonkarahisar (kifupi pia: Afyon) ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki, na ni mji mkuu wa Mkoa wa Afyonkarahisar. Afyon ni mji uliopo milimani kutoka nchi kavu kuelekea katika pwani ya Aegean, takriban km 250 (155 mi) kutoka kusini-magharibi mwa mji wa Ankara hadi kuelekea Mto Akar. Kuna mita 1,034 za maporomoko. Idadi ya wakazi imefikia 128,516 kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000.

Kukiwa na hali ya hewa ya baridi sana, barabara zote huenea barafu.

Jina

Jina ni la Kituruki kwa ajili ya ngome nyeusi iliyopo katikati ya mji wa kale. Zamani iliitwa Afyon pekee kutokanana na dawa la afyuni lililotengenezwa hapa kwa wingi kutokana na mashamba makubwa ya mipopi yanayolimwa katika mazingira ya mji.

Tahajia za kizamani zilikuwa zimejumlisha Karahisar-i Sahip Afium-Kara-hissar na Afyon Karahisar. Mji ulikuwa ukifahamika kama Afyon (afyuni), hadi hapo jina lilipokuja kubadilishwa mwaka 2004 na bunge la Uturuki.

Historia

Viungo vya Nje


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Afyonkarahisar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.