After Death
Mandhari
After Death ni filamu maalum kwa ajili ya kumuenzi marehemu Steven Kanumba iliyozunduliwa kwa kishindo wakati wa hafla ya Kanumba Day. Ilizinduliwa 7 Aprili 2025 kwa lengo la kuenzi filamu mpya ya marehemu Kanumba ya Love & Power kwenye viwanja vya Leaders.
Muongozaji wa filamu hiyo walikuwa ni Jacklyne Wolper na Leah Richard (Lamata).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lenzi ya Michezo. "FILAMU YA "AFTER DEATH" YA KUMUENZI KANUNMBA HADHARANI MEI". LENZI YA MICHEZO. Iliwekwa mnamo 2025-08-16.