Nenda kwa yaliyomo

Africa de las Heras

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Afrika ya Heras)

África de las Heras Gavilán (26 Aprili 19098 Machi 1988) alikuwa Mkomunisti mzaliwa Hispania na raia wa Sovieti aliyepata uraia hapo baadaye. Alizaliwa katika mji wa Ceuta na kufariki mjini Moscow. Alikuwa wakala wa huduma za siri aliyejulikana kwa jina la kificho "Patria", lakini pia alitumia majina kama "María Luisa de las Heras de Darbat", "María de la Sierra", "Patricia", "Ivonne", "María de las Heras", "Znoi" na "María Pavlovna".[1][2]

  1. Fernández, Rodrigo (30 Machi 2008). "Una española, espía en el KGB". El País. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Centeno, Jesús. "Española con ficha en el KGB". Público. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Desemba 2009. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Africa de las Heras kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.