Nenda kwa yaliyomo

African Origins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

African Origins (yaani Mradi wa Asili ya Kiafrika) ni hifadhidata inayosimamiwa na watafiti wa Chuo Kikuu cha Emory, Georgia, Marekani, yenye lengo la kurekodi ukweli wote unaojulikana kuhusu Diaspora ya Waafrika, ikiwa ni pamoja na nyaraka zote zinazohusiana na biashara ya utumwa ya kupitia Atlantiki. Ni mradi dada wa Voyages: The Trans-Atlantic Slave Trade Database.[1]

  1. "New Website to Trace Origins of Enslaved Africans | Emory University | Atlanta, GA". shared.web.emory.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-05. Iliwekwa mnamo 2025-07-07.