Nenda kwa yaliyomo

Afonso I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Afonso I alivyochorwa.

Afonso I (pia: Mvemba a Nzinga, Nzinga Mbemba, Funsu Nzinga Mvemba au Dom Alfonso (1456 hivi - 1542 au 1543) alikuwa Manikongo wa 6 wa Ufalme wa Kongo kuanzia mwaka 1509, baada ya kifo cha baba yake, Nzinga Nkuwu hadi kifo chake mwenyewe. Afonso I alijitahidi sana kufanya ufalme wote ufuate imani na maadili ya Kanisa Katoliki kwa msaada wa mtoto wake Henri wa Kongo, askofu wa kwanza kutoka Afrika kusini kwa ikweta.

  • Afonso's letters are all published, along with most of the documents relating to his reign in:
    • António Brásio, Monumenta Missionaria Africana (1st series, 15 volumes, Lisbon: Agência Geral do Ultramar, 1952–88), vols. 1, 2 and 4.
    • While a separate publication of just his letters and allied documents (in French translation) is in Louis Jadin and Mirelle Dicorati, La correspondence du roi Afonso I de Congo (Brussels, 1978).
  • McKnight, Kathryn Joy, and Leo J. Garofalo. "Afro-Latino Voices: Narratives from the Early Modern Ibero-Atlantic World, 1550-1812."
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afonso I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.